Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anayetaka proof za mdau ancheck PM, Ntamtumia ili akiamua jilipua ajilipue..
hii ya leo ni trial games ndyo leo tunaanza jaribu business ake ya games..so sijalipa ndyo maana nimeachia free..japo yeye kalipa kwa real source ake
Kwenye Proof tushamaliza chapter iyo wadau mtashare na wengine...so kazi ni kwenu maana hakuna aliyeumizwa kwa gharama ni wewe na internet na stake ako...Tukutane J3 kwenye makavu kama nimeleta tango pori ama real source ya kupiga pesa.
Weekend Njema wadau...wenye hasira kwann nimeshare na wadau..mezea mate tu gubu. Tukutane kesho ama J3.
 
hapo najilipuwa mazima kama mdau alivyobeti habari za kusema ningejuwa na mimi ningeufuata mkeka hata sizihitaji kama likiwa tango pori basi potelea mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…