Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Kama ameplace under ni kilio tu sasa hamna namna.Sasa hpo umeona vzr kweli au ni nini
Man u & under 0.5 ?!! Hapo hakuna goli sasa sijui atakuwa amewin vp
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ungeweka 1ST half zishinde January hii ungekuwa miongoni mwa watanzania wachache wenye furaha
Seriously??😲
Burnley wenyewe wanaweza kidrawHivi unawajua wachawi Wigan Athletics kwenye hili kombe? Daah kuna kuweka mikono kichwani baadaye lakini!
Seriously??[emoji44]
Mpaka sasa wewe na Kanjiby mpo 1-1 yaani mpo droo ila ngoma ikiisha hivi Kanjiby anabeba mzigo wote! Kanjiby hayupo fair kabisa
Itatoa
Good luck.
Ya kwanza Tayari mkuu subiria ya pili...Big up sema pesa iyo umejiteketeza mpaka hisia umetoa.