Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii bet unashinda mkuu...Hapo kwenye pending unaenda kupiga kiulaini maana jamaa yupo na kibonde. Vuta subira uje ulete mrejesho.
hata ikitoa hawezi pata mpunga sababu inatakiwa zishinde angalau timu 13 lakini kwake yeye itakuwa timu 12 kama sikosei ilibakia kidogo tu
 
hata ikitoa hawezi pata mpunga sababu inatakiwa zishinde angalau timu 13 lakini kwake yeye itakuwa timu 12 kama sikosei ilibakia kidogo tu
Nimeangalia vizuri ni kweli anakosa kwa 1
 
Kanjiby naona leo na jana kabana kwenye options za magoli
 
Hivi inachukua mida gani premier kurudisha hela ? Nna week sasa wanazingua.....

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…