The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Watu wanachambua afu wanaweka ,huwa wanacjekwa saana nakuambiwa haiwezekan lakin kwakuwa wanaweka timu chache na kwenda kinyume ktk game ni kawaida hivyo siku hugeuka na wao kujikuta na mtaji mneneAiseeeee hivi hapa limetumika jicho la tatu au ni kawaida hivi??? Uuuwiii hatari sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona timu inaongezewa odds Wala usijiingize tamaa mfate yule mwingine kwa double chance Wala hutojuta.
Wolves 1-0 LiverpoolUkiona timu inaongezewa odds Wala usijiingize tamaa mfate yule mwingine kwa double chance Wala hutojuta.
Daaah imenifikirisha sana hiyo kituWatu wanachambua afu wanaweka ,huwa wanacjekwa saana nakuambiwa haiwezekan lakin kwakuwa wanaweka timu chache na kwenda kinyume ktk game ni kawaida hivyo siku hugeuka na wao kujikuta na mtaji mnene
Sent using Jamii Forums mobile app
Game ya tondela unaeza cheza no goal hyo red card isikuogopeshe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28] kama vile umehic mana first half nimefata goli likatokea. Sasa nahc hakuna lingn
Sent using Jamii Forums mobile app