Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Tondela2 - 0Sporting
Bet losteee hata sio lost hakunaga kutest zali kwenye kubet tulia amua.
Wolves2 - 1Liverpool
Hiyo VIP mkuu umenunua odds au imekuaje!?Nikamia 500 tuu_watu wakapata kiinua mgongo ,View attachment 988792
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nilale tutaonana jumamosi wakuu...
Weekend Hii nimechezea vipigo si vya nchii hii..
ngapi ngapi na dk ya ngapi?JAMANI LIVER HATA DK??? NI MTIHANI KWAKE
2-1 DK 90ngapi ngapi na dk ya ngapi?
duu2-1 DK 90
kama kafungwa ndio kaaga hivyo hamna marudiano
Naona kama vile hawezi chomoa goli, kasha agaa tayarkama kafungwa ndio kaaga hivyo hamna marudiano