Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Nilisema mimiLiver anaweza kumuiga chelsea au madrid leo
Hatimae kamuiga kweli madrid
Nilisema mimiLiver anaweza kumuiga chelsea au madrid leo
Mbona odd nene sana ilikuwa dakika ya ngapi za kipndi cha kwanza,
Hii sikubeti mimi nmeikuta tuu mahali, nikaileta kama past paper itusaidie kumuuwa kanj kweny test zake ,,
Fixed zipo Italy na ugiriki tu! Muda mwingine usidanganyike England matokeo yanapangwa[emoji460]️Wolves - Liverpool
[emoji460]️Tips: 2 FT
[emoji460]️Odd: 2.10
[emoji91]Fixed: 99%
Sent using Jamii Forums mobile app
Angepigwa Man U ungeendeleaJaman wadau nmeacha kubet rasmi baada ya liver kupgwa Jana [emoji45][emoji45][emoji45]ngoja nsubir msimu ujao labda mambo yatabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu maana dahFixed zipo Italy na ugiriki tu! Muda mwingine usidanganyike England matokeo yanapangwa
Sawa nimekusomaHii sikubeti mimi nmeikuta tuu mahali, nikaileta kama past paper itusaidie kumuuwa kanj kweny test zake ,,
Kapiga million 96 tsh, kwa mia5
Sent using Jamii Forums mobile app
umetumia njia gani ku deposit 1xbetYani betting imetisha ukistake kidogo inatoa weka mawe ya maana utakimbia View attachment 989032View attachment 989033
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, Mkuu acha tu, hapa nawaza kinoma but ndo nishafanya maamuzi.
Akikujibu nitag.Mbona odd nene sana ilikuwa dakika ya ngapi za kipndi cha kwanza,
Na huwa una zingatia nini kuamini kuipa over match
Mimi pia ni mzee wa inplay!
Nimeona una akili ya in play ambayo sina, naomba A B C mkuu....
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hicho kitu unachosema!! Timu ikifungwa ndy kwaheri, we hujaona droo zimepangwa jana