fei toto
Member
- Jan 2, 2019
- 87
- 49
Nimeikosa ya U.A.E void...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ukibet bet Kwa malengo na pia hakikisha sehemu ya faida inayopatikana unaiminya yaani unajifanya nayo kama imeliwa unaielekeza Kwenye kununua asset au matumizi mengine ili kujicontrol. Kwamfano Mimi bajeti ya chakula day to day now inatoka Kwenye betting ile hela niliyokuwa naitumia Kwenye chakula kutoka Kwenye kipato kingine inaingia moja Kwa moja benki. Kwamfano Jana nimepata laki mbili faida, laki nimeitoa imeenda Kwenye kununua mahitaji ya nyumbani Na laki nyingine nimeitunza kwaajili ya backup.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app