Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeangalia page ya insta ya barca kuangalia kikosi chao mana wanatoaga... cna amani na hii kaulii niliyoikuta
20190110_213722_rmscr-1.jpeg

Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
 
mkuu forex ni tofauti kidg na hii maana hata mimi nilikua nashinda kwenye huu Uzi ila forex ni tamuu hata kama bado hatujamake money ila future iko bright

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha najua mkuu ila wengi hawajui forex km ni betting pia,na inahitaji uwekeze muda sana kufuatilia trading...unaweza ukapiga mpunga mrefu au ukapigwa mpunga mrefu ndan ya muda tu.. inahitaji uelewa sana wa exchange na ufuatiliaji sio km sporting betting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kiongozi, je mpaka mida hiyo inapofika huwa unatumia Live score kucheki possession ya hiyo game kisha unatia stake au...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una maswali khaaa!! Kero umeshaaanza!! Ww ina maana hata apps za kucheki game inaendeleaje huna...dowload playstore.....isitoshe 1xbet inatumika mara nying kuangalizia mwenendo wa mechi....acha uduanzi...ukiazi upunguze

Nime kuuliza wewe mkuu...? Mbona unataka kuleta wivu wa kike aisee..[emoji15]

Mkuu @ Avoid nilimuomba darasa na alicho nijibu ni KARIBU TUJIFUNZE

Kinacho kuuma wewe nini....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom