Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,428
And that's the true meaning of betting. Betting haina guarantee, betting ni sawa na yule bwana alivyofanya akapata. Ni sawa na waislamu wao huwa wanabeti kwa kuoa wake hadi 4 sababu hawaruhusiwi kufunua hijab na kuona sura ya mwanamke hadi amuoe kwanza... That's betting. Nimejaribu mbinu zote nimecheza single bet naweka laki tano napata faida laki 2 then kesho naliwa tena. Kwenye betting hakuna anaekula wiki mbili mfululizo ukila leo ujue kesho Mhindi anarudisha hela yake yote na mateka juu. Hakuna calculation wala consistency kwenye betting. Jana PSG kapigwa na dogo aliekuwa na odds 11? Mikeka ya Dunia nzima ikachanika.Ila kumbuka kuna watu humu wanapiga kila siku zaid ya elfu kumi..kuna article moja nilisoma ikitokea mtu kapiga mpunga mrefu km huyu inakuwa faida kwao coz watautumia ushindi wake km promo kuvutia watu wengi km wewe ulivyovutika ku take risk upige mpunga mkubwa ambapo ni wengi sana watabet na wataliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Betting ni kamari, sasa ni kuandaa akili akupige wewe pakubwa au wewe umpige pakubwa, au uendelee kupiga mark time day after day. The choice of yours.
Sent using Jamii Forums mobile app