Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeikosa ya U.A.E void...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa Mkuu, sio tu kubet kila siku kuna mtu anataka kubet kila mechi. Sasa Kwa style hiyo lazima vilio vitawale unatakiwa Kujua ni lini, wapi na muda gani nibet kutokana na strategy yako sio all the time. Ndio maana hata wale wa forex wana siku za kutrade sio kila siku na sio all the time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee wee jamaa hatari sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna darasa nimelipata aisee,

Yani ktk mechi zako unazo beti huwa nazifuatilia na kuzitafakari ila kuna jambo nilitaka kukuliza mkuu japo nimepate maujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza kitu hapa
Shukrani kwa hizi hints unazotoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu forex ni tofauti kidg na hii maana hata mimi nilikua nashinda kwenye huu Uzi ila forex ni tamuu hata kama bado hatujamake money ila future iko bright

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazeee nimeliwa sana leo sina hamu tena naombeni mnisaidie odds mbili za uhakika niweke mkeka wa kulalia sijalizika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…