The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Ina maana huwa hizi game unazisubilia mpaka Dk 30 kisha ndio unazibetia sio mkuu
Ndio Mkuu manaake muda unavyozidi kwenda odd zinakuwa tamu.Ina maana huwa hizi game unazisubilia mpaka Dk 30 kisha ndio unazibetia sio mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
unapenda nife na magojwa ya gharama mkuu duh
Nashukuru kiongozi, je mpaka mida hiyo inapofika huwa unatumia Live score kucheki possession ya hiyo game kisha unatia stake au...?
Weka nyumba basi ...[emoji125] [emoji125]unapenda nife na magojwa ya gharama mkuu duh
hahahhaah nyumba gani nimepanga mama mwenye nyumba anataka hela ya pango afu kajibhai leo hafai, wazee wa kubet hamtaki kunipa ma odds ya ushindi afu asubuhi mnanitamanisha tu na ma won win pay out yakutosha
Ha ha ha najua mkuu ila wengi hawajui forex km ni betting pia,na inahitaji uwekeze muda sana kufuatilia trading...unaweza ukapiga mpunga mrefu au ukapigwa mpunga mrefu ndan ya muda tu.. inahitaji uelewa sana wa exchange na ufuatiliaji sio km sporting bettingmkuu forex ni tofauti kidg na hii maana hata mimi nilikua nashinda kwenye huu Uzi ila forex ni tamuu hata kama bado hatujamake money ila future iko bright
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una maswali khaaa!! Kero umeshaaanza!! Ww ina maana hata apps za kucheki game inaendeleaje huna...dowload playstore.....isitoshe 1xbet inatumika mara nying kuangalizia mwenendo wa mechi....acha uduanzi...ukiazi upunguzeNashukuru kiongozi, je mpaka mida hiyo inapofika huwa unatumia Live score kucheki possession ya hiyo game kisha unatia stake au...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ila Kwa baadhi ya timu ambazo nimeshazizoea huwa siangalii naplace tuNashukuru kiongozi, je mpaka mida hiyo inapofika huwa unatumia Live score kucheki possession ya hiyo game kisha unatia stake au...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime kuuliza wewe mkuu...? Mbona unataka kuleta wivu wa kike aisee..[emoji15]Mkuu una maswali khaaa!! Kero umeshaaanza!! Ww ina maana hata apps za kucheki game inaendeleaje huna...dowload playstore.....isitoshe 1xbet inatumika mara nying kuangalizia mwenendo wa mechi....acha uduanzi...ukiazi upunguze
Sent using Jamii Forums mobile app
achana nae mbipi huyoooNime kuuliza wewe mkuu...? Mbona unataka kuleta wivu wa kike aisee..[emoji15]
Mkuu @ Avoid nilimuomba darasa na alicho nijibu ni KARIBU TUJIFUNZE
Kinacho kuuma wewe nini....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime kuuliza wewe mkuu...? Mbona unataka kuleta wivu wa kike aisee..[emoji15]
Mkuu @ Avoid nilimuomba darasa na alicho nijibu ni KARIBU TUJIFUNZE
Kinacho kuuma wewe nini....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, kuna kitu nimejifunza hata kama nimachache ila ningependa kuishia hapa tuu.Yeah ila Kwa baadhi ya timu ambazo nimeshazizoea huwa siangalii naplace tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu...Acha uvivuu wa kifikraa... we hadi possession unauliza...we hujaona wenzako wameuliza chap wameelewa...we kwannni mzito..
Sent using Jamii Forums mobile app