Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kabisa mkuu.. Yaani hizi kampuni za kibongo sometimes zinakuwa na upuuzi, haiwezekani mimi nataka option ya over 1.5 goals wao wanakulazimisha over 2.5!! alafu mwisho wa game hiyo over 2.5 yao haipatikani.
1xBet alikuwa mkombozi wangu.
Ila kwa ukweli 1XBET ni kiboko yao,waliofanya mpango wakaitoa mobile payment na walaaniwe maaninaa😕😡😡
 
Ukitaka kuplace bet meridian usiwe na hasira unaweza vunja simu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha ... aisee, hiyo experience nilishaipata. Umefanya uchambuzi vizuuuuri sasa anza kuweka mkeka. Utajuta. Yani km unakokoro ndio balaa, unafika timu ya 15 bdo moja umalize, mkeka unafutika uanze upya. Grrrrrrrrrrr



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meridian hapo ndipo wamefeli yaani ili tatizo la miaka nenda rudi...isingekuwa ivyo ingekuwa ni moja betting company nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitakuja kubet na kampuni za kibongo maisha yangu yote,kama haitarudi 1xbet au kupatkana njia rafiki ya kuweka na kutoa hela basi mm katika betting nitakuwa mpenzi mtazamaji.

Wana option za kijinufaisha wao tu,wanataka wale wao tu ,jana wamenipga sana,wana odds za kijanja janja tu,jana betpawa kala hela yangu hadi ya nauli nikashindwa hata kusafiri,wamenipiga balaaa hadi leo nakaa bila amani ,weekend hii kwangu ni mbaya mnoo.

Sitabet na kampuni za kibongo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv kampuni za kibongo hawawezi kuiba au kuiga mfumo wa 1xbet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…