Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu jaribu jaribu njia nyingine hizi wanazotumia wenzetu kudeposit ingawa bado naona zina mzunguko kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahahahah jamaa umenchekesha shida ni pale unapoliwa alafu badu unacheki live stream option zinabadilika badilika uku unatamani na kaudenda kanatoka unaingia mpesa unadeposit mambo yanarudi vilevile ukisahau kesho nayo siku
 
Yani nilipigwa nikawa na hacra ,sasa kipgo kikawa ndo rafiki yangu,
Utazani kuna mtu alikuwa ananichezeshea ,basketball isikie tu ndugu ,pesa yote iliisha hadi nimeamka kichwa kinauma ,ila changamoto ni pale unapotumia apk mbili kwa wakati mmoja,betpawa sitaki hata kuwasikia ,wanaujanja sana kwa kufilisi watu.sitarudia kubet na kampuni za wabongo
hahahahahahahahahah jamaa umenchekesha shida ni pale unapoliwa alafu badu unacheki live stream option zinabadilika badilika uku unatamani na kaudenda kanatoka unaingia mpesa unadeposit mambo yanarudi vilevile ukisahau kesho nayo siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kiukweli bila 1XBET tutaumia kwa kiasi kikubwa sana if cap fits
 
Anayekuuzia kama kaeka bei kuanzia 10mil kwa bitcoin jua lazima utapata kiasi kidogo

Utapata kiasi kikubwa kama anayekuuzia anauza kwa chini ya 9.5mil

Na pia usisahau kuna transfer charge ya 0.00005
BitCoin inachukua muda kdg, takribani 20-30mins ... na makato ndo balaa. Unadeposit 100,000/- lkn inayoingia ni abt 93,000/-

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayekuuzia kama kaeka bei kuanzia 10mil kwa bitcoin jua lazima utapata kiasi kidogo

Utapata kiasi kikubwa kama anayekuuzia anauza kwa chini ya 9.5mil

Na pia usisahau kuna transfer charge ya 0.00005

Sent using Jamii Forums mobile app


Ooh ok ... kumbe kuna umuhimu wa kuangalia dau lao. Sikuwa najua hili, thanks kiongozi. Mara nyingi nanunua bitcoins kwa somebody Mallya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…