kapigwa ngapi
Simba nguvu moja 💪
Mkuu usicheke kachana wa draw, over 2.5 na direct win acha nibaki mpenzi mtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariiiSimba nguvu moja [emoji123]
Hatariii
Wachosha sana na website yao... Ukifanya hili... Ukirudi uanze kutafuta upya...
Yan saa unasubir Over yyt ile na haijatokea, dakika kama zinapelekwa haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool babaa.. nina imani kila mwana jukwaa yupo macho anamuangalia Liverpool.
mimi pia nafatlia kwa chozi ndaniLiverpool babaa.. nina imani kila mwana jukwaa yupo macho anamuangalia Liverpool.