Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu cleansheet maana yake ni kwamba dk 90 timu isifungwe goli iyo uliyoichagua ambayo inaweza kuwa ya nyumbani au ugenini.mfano simba vs azam kwa mm ntasema upande wa azam kwamba no cleansheet maana yake lazima tu atapitisha goli liwe la kujifunga au kufungwa na simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu utawapoteza wakongwe haipo hivyo ...nikisema kwa mfano leo barca na eibar .pale cleansheet kwa barcelona amewekewa yes au no.ukichagua yec maana yake barca isipitishe goli na ukichagua no ni kwamba barca aluhusu goli liingie.hii option makipa ndo waamuz.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Yaaaah nimejichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…