Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sure Mkuu, usikate tamaa. Hapa ni kupiga na kupigwa lakini rate ya kupigwa inakuwa ndogo kuliko rate ya kupiga. Yaani unapiga zaidi na unapigwa kidogo mwisho wa siku unabaki na positive balance.
 
Sure Mkuu, usikate tamaa. Hapa ni kupiga na kupigwa lakini rate ya kupigwa inakuwa ndogo kuliko rate ya kupiga. Yaani unapiga zaidi na unapigwa kidogo mwisho wa siku unabaki na positive balance.
Tupo pamoja mkuu, tunahitaji ulezi wako walau itafika pahala maso tuta adopt usituchoke wala usife moyo na wazandiki wenye kauli za kifedhui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…