Tubadilike jama una post mkeka uliyo pata tu kwann mspost wakati bado mkeka haujatik nas tufaidi tuache hiyo tabiaAiseeee ulikua uchambuz yakinifu ukituliza akili pesa ipoView attachment 996793
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akipost ukakosa?Tubadilike jama una post mkeka uliyo pata tu kwann mspost wakati bado mkeka haujatik nas tufaidi tuache hiyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupatie bas link mkuu?Kuna watu wanajiita VIP-turkey fixed matches,naona kama vile wanatoa vitu vya ukweli sana yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nawaamini sana nawapaga zote zilizopo na siku zote odds zao nakuta ni 2.2They're back at their best ! ... tuwaandalie tu hela ya kutosha. Quarter moja wanaenda vikapu 80+ duuuuh
Nawapataje hao mkuuHuwa nawaamini sana nawapaga zote zilizopo na siku zote odds zao nakuta ni 2.2
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry nimekosea kuqoute mzeeHuwa nawaamini sana nawapaga zote zilizopo na siku zote odds zao nakuta ni 2.2
Sent using Jamii Forums mobile app
Gsw hakuangushi kamweWamenirudishia hela zangu niko nao toka Q2 ni mwendo wa over 59.5 na odds za 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa hakuna fixed Match mm shapigwa kama Mala Tatu utajuta