Kampuni gani zuri kwenye kuweka mkeka baskerball...... mana nako kuna mshiko kule
Sofa score naona iko poaMwenye Sports News links za uwakika nataka njaribu cheza Jackpot ya betpawa naona zipo tamu na pesa ndogo kuliko sportpesa.
mara ya mwisho nliipiga 10 na 8 out of 17 kwa analysis ya facts tuu, nataka za Injury report na mengineyo.
Site 2 tuu za uwakika zinantosha...kuna mdau alikuwa anatupia maelezo ya teams usika nani atakuwa hayupo angentumia link ningemalza Ombi langu.
Ahsante.
Punter
Mimi najua site inaitwa whoscore.com utaona injured,Suspension,doubt,red card nakathalika ila ni kwa baadhi ya timu sasa sizani kama hizi za jackpots wanaweka hizo previews jaribuMwenye Sports News links za uwakika nataka njaribu cheza Jackpot ya betpawa naona zipo tamu na pesa ndogo kuliko sportpesa.
mara ya mwisho nliipiga 10 na 8 out of 17 kwa analysis ya facts tuu, nataka za Injury report na mengineyo.
Site 2 tuu za uwakika zinantosha...kuna mdau alikuwa anatupia maelezo ya teams usika nani atakuwa hayupo angentumia link ningemalza Ombi langu.
Ahsante.
Punter
Mkuu mbona inazengua, je unaichek google au ina app yake?
kama kawaida. kesho nitawekaMkuu week hii jackpot si kama kawaida?au ushagive up?
Wakuu hivi hiyo bonus ya parimatch ukijiunga ukabet elfu kumi ni kweli unapata Tsh.50000 ya bure?
~ Cheza kwa step.I can win 16K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
~ Cheza kwa step!
Sent using Jamii Forums mobile app