Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mie saiv nimestop mkuu kwa muda ila nafatilia sana uzui huu kwa wapambanaji wezangu ila tu nachukizwa na watu hao.


Kama umesimama unahitaji upostiwe kwasababu gani?

Au unataka uhesabu kaliwa ngap na kala ngap?

Hili jamvi yeyote anaehitaji kukaa anaketi haijalishi anatabia gan, ukiona Kuna Jambo halikuridhi unaachananalo Yan unalikubali kuwa lipo na huwez kulibadilisha bas maisha yanasonga
 
Shida yahumu Yan wajuaji wengi sio Kama kipindi Cha nyuma Yan ilkua n mipango Kaz kwelikweli sikuhiz sijui shida n nn?
 
Ndio maana hata wale manguli tuliokuwa tumewazoea hawaonekani tena kwenye hili jukwaa sababu ya utoto mwingi
 
litaje tu hilo fala VOID

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehtehteh Aiseee wewe endelea kuteseka ila green Hapa kama kazi. Hili ni jukwaa huru. Ukikerwa sana zama machimboni leta wewe mikeka, sio unakuja na maneno matupu. Kama kubet kumeshinda kauze njegere acha kulazimisha na sisi kutushinde. Kuliwa uliwe wewe uje kuleta shida zako Hapa tena unataka msaada Kwa lazima. Tehtehteh. Pambana na hali yako. Green slips loading. Mpaka uhame jukwaa Kwa mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…