huyu void bwege tu tena pimbi badala ya kupost kabla anapost baadafala wewe na kwani aliyekuchana Leo asbh nae unamkela au anakwambia uache ushamba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Betpawa mwenyewe nimewaelewa ila gemu in play chache Wana dili Sana na tennis
HakikaWanasubiri green walaumu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Betpawa mwenyewe nimewaelewa ila gemu in play chache Wana dili Sana na tennis
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichat 1XBet wakadai Visa MasterCard za CRDB zinakubali kuweka na kutoa. Nikataka kujua ukweli practically toka kwa wadau kabla sijafungua account.Naona nyingi zinagoma labda waliowai kufanikisha mpaka kutoa waseme
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fursa kwa wapenda Inplay.. Weka akiba zako zote kwa over 1.5 goals.Liver keshakula kimoko
Nilichat 1XBet wakadai Visa MasterCard za CRDB zinakubali kuweka na kutoa. Nikataka kujua ukweli practically toka kwa wadau kabla sijafungua account.
Nilitest: kuweka ni kuanzia 1500 na kutoa ni kama 132,000/- kwa MasterCard