Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PSV kachana mkeka wangu wa kwanza wa 30k na mwenzie ajax kachana mkeka wangu wa 50k kwa draw. Ningeweka kinyume chake kwa odds walizokuwa nazo hao underdog leo ningekuwa na mamilion. Risk takers sijui nafeli wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kweny maisha kinaitwa Instincts yani innate voice au innate skill kuhus jambo lolote lile ambapo kila mtu anayo. Changamoto inakuja kwenye kutii instincts zako mana hua zipo kinyume na akili kwa % kubwa. Kila anayebet anacho hichi kitu ndani yake na hua tunapata taarifa mapema kuhusu matokeo ya mechi yyte ile itakayochezwa duniani. Changamoto ni moja...kutii unachokisikia ndani badala ya kutumia uzoefu wako..hata kama city anacheza na luton, hlf mech ikaisha under 1.5, lazima mwanzon kabla hukubet kuna namna isiyoelezeka uliona umpe city kushinda ila ukawaza kwa akili na uzoefu luton atapigwa hata 6 hivy uweke 2.5 over au cty ashinde kwa handcap ya 2..baada ya mechi unafanya self-blaming.. kutii instincts ni challenge kwangu na kwa wengn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli kabisa mkeka wangu uliochanwa na club Brugge nilidoubt sana kwanza niliweka 2.5 over nikaja nikatoa kwa basis kuwa lately wana underperform nikaweka 1.5 over ila still nikarudi kucheki head to head mwisho nikaweka tu hivyo hivyo na akachana vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni tatizo sana

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…