Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau humu ndani naona nyuzi za kupeana maelekezo sijui ya 1xBet namna ya kutumia zinakuwa nyingi kuliko lengo la huu uwanja! Nashauri tujaribu kujiongeza jamani! Humu ndani tupeane possible winnings hayo mengine ya sijui namna ya kuweka pesa kwenye account watu wajiongeze!
 
kwa hiyo kama mtu amekwama kuwthdraw/deposit tusimsaidie?
Tuonyeshe kwanza mkeka wako ambao ulishawahi kushare humu. Acha ubinafsi
 
Jaman msaada kwa anaejua kuzitumia zile bonus za 1xbet...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huko 1xBet mnafuata nini?mana complicate mambo tuu tumieni bet platforms zinazokupa urahisi wa kutoa mpunga wako, kwangu ni bora kutumia meridian, premierbet au betpawa mambo ya kutoa na kuweka kwa bitcoin au kadi za benki ni uduanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…