Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ile game ya Barcelona Jana ilikua wazi..na ndio maana hata odds zake zilijieleza..kwa mzoefu ilikua risk kuipa direct win.
 
kwa hiyo kama mtu amekwama kuwthdraw/deposit tusimsaidie?
Tuonyeshe kwanza mkeka wako ambao ulishawahi kushare humu. Acha ubinafsi
Si wajibu wangu kukuonesha mikeka nilowahi kushare tafuta mwenyewe na mimi sio mbinafsi. Najaribu kuweka ukweli bayana, watu wanajaza uzi kwa mambo yasiyo lengo la hapa.
 
Si wajibu wangu kukuonesha mikeka nilowahi kushare tafuta mwenyewe na mimi sio mbinafsi. Najaribu kuweka ukweli bayana, watu wanajaza uzi kwa mambo yasiyo lengo la hapa.
Hv mtu anapoulizia jinsi ya kuweka hela au kutoka hela inamaana hiyo kitu haihusiani na kubeti,utabet kama hula hela kwenye account au si unabet ili upate hela ili uweze kutoa..ebu achen mambo ya ajabu..hapa tunasaidiana ktk masuala yote ya kubet..kama vip anzisha uzi wako uweke hayo mashart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…