Jana baada ya kiongozi wa dini ya mabohora kulalamika muhindi anamchania sanaa mikeka hivyo akataka hii michezo ifutwe coz inaleta uvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
poaNashindwa kuweka link hapa,search Parimatch.co.tz
Serikali haina Dini, huyo Bohora aendelee kufuga Midevu tu.....Hii sijasikia kabisa,,,,,,,,,,ina maana naye Magu kamwuunga mkono?😳
Hapana hawajamuibia coz yeye alimpa goli moja mkononi baca na akapigwa mbili....Wamekuibiaa hapaaa....
Thankssassoulo vs cagliari 1
freiburg vs hoffenheim 2x
wolfburg vs b.leverkusen 1x
blckburn vs hullcity 1x
bromley vs eastleigh 1
dumbarton vs montrose 1
newcastle vs watford 2x
norwich vs sheffield utd 1
portmouth vs qpr 2
nantes vs st.ettien 2x
leganes vs eibar 1
werder bre vs eintracht fra 1 or 2
dijon vs as monaco 1x
guingamp vs reims x
ac milan vs napoli 2
cercle brugge vs st.tuden 1x
Cc:ifran,troublemaker,joanah n.k
kabla jiwe ajafyekelea mbali biashara yetu tuhakikishe hizi mil200 tumezichukua.
NATOKA IVI PLSE MCHANGO WENU NI MUHIMU HAPA.kabla sijastake.
[emoji23] [emoji23]Jana baada ya kiongozi wa dini ya mabohora kulalamika muhindi anamchania sanaa mikeka hivyo akataka hii michezo ifutwe coz inaleta uvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau humu ndani naona nyuzi za kupeana maelekezo sijui ya 1xBet namna ya kutumia zinakuwa nyingi kuliko lengo la huu uwanja! Nashauri tujaribu kujiongeza jamani! Humu ndani tupeane possible winnings hayo mengine ya sijui namna ya kuweka pesa kwenye account watu wajiongeze!
naomba link tafadhali.
Habari mkuu, samahan kwa usumbuf wowote.
Mimi nilijiunga 1xbet mwezi wa 12 mwaka 2018. Nikawa nabet kidogo kidogo naliwa, na nilikuwa natumia mastercard yangu ya nmb kudeposit. Sasa iko siku nikala hela nikataka kutoa, matatizo yakaanzia hapo. Ikaonekana nmb hawaruhusu kuwithdraw pesa kutoka makambuni ya kubet.
Nikajaribu PayPal lakin bado my request for withdrawal ilikuwa rejected by operator japo 1xbet walikuwa wanaidhinisha request yangu.
Sasa mkuu naomba nisaidie ww unatumia payment method ipi inayokubali kuwithdraw pesa kwa Tz.
Nashukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mtu akutumie pesa Mpesa halafu wewe umtumie stake kupitia huduma yao inayoitwa Transfer to a friend! Fanya hvyo maana hapo hautoweza kutumia njia nyingine yoyote coz watakwambia u withdraw kwa njia uliyotumia kudeposit
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tafuta mtu akutumie pesa Mpesa halafu wewe umtumie stake kupitia huduma yao inayoitwa Transfer to a friend! Fanya hvyo maana hapo hautoweza kutumia njia nyingine yoyote coz watakwambia u withdraw kwa njia uliyotumia kudeposit
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi hapa nihamishiee then nikutumieee m pesa
Chichimizi