Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Hongera sana chiefKweli direct win ni hatari Kwa afya hebu angalia hizo odd.View attachment 1008336
[emoji3][emoji3][emoji3] kumekucha mkuu.. nataka kurudisha mtaji, fanya kweli. Wahuni wa Manchester wamenitenda.Aisee....sasa Hapa ningefumba macho nikatupia kamilioni. Daah si ningekuwa nacheza kibikobiko.View attachment 1008337
Pole Mkuu, ila zitarudi.[emoji3][emoji3][emoji3] kumekucha mkuu.. nataka kurudisha mtaji, fanya kweli. Wahuni wa Manchester wamenitenda.
Dah! Sidhani.. maana nimepigwa parefu.Pole Mkuu, ila zitarudi.
Badilisha strategy Mkuu.Dah! Sidhani.. maana nimepigwa parefu.