Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Shukuru sana.. hiyo ya Newcastle na Man City ingevuruga sherehe yako maana kidogo tu itoe draw.Ndio naamka nakuta kitu kimeitika, matimu makubwa sio ya kubet direct tenaView attachment 1008396
Sent using Jamii Forums mobile app
Napataje bitcoins na namna gani na nikitaka withdraw itakuwaje iwe pesa,tunuzaneBitcoins
Sent from my iPhone using JamiiForums
Akituma Mkeka Nitag [emoji23][emoji23][emoji23] sio Tips, akituma Mkeka Aliokula Nakunya Dar to Dodoma
Sent from my iPhone using JamiiForums
wewe lazima ujenge gorofa kupitia bettingNgapi huko???View attachment 1008328
Washenzi wameenda na 20K yangu hao, team za Afrika ni kichefu chefu.....ajabu nilisita sana nakutamani kucheza OVER 1.5 at the end nikawaamini Direct WIN sabab ya rekodi yao
Huku ndy kubeti sasa na ikikubali imekubali na ikigoma imegoma kweliHawa wanaitwa wazee wa kujilipua...... kalipuka mbayaaaView attachment 1008397
Sent using Jamii Forums mobile app
Washenzi wameenda na 20K yangu hao, team za Afrika ni kichefu chefu.....ajabu nilisita sana nakutamani kucheza OVER 1.5 at the end nikawaamini Direct WIN sabab ya rekodi yao
Walizingua hao jamaaNenda Kwa Arsenal na Kwa Man u jilipue na over 0.5 HT play single.
Apo kwa Chelsea weka double chance jana si umeon kilichotokeaNan mchaw hap wadau
Chelsea atashinda ila wasiwasi ni Liverpool Leo lazima uweke yeyote apigwe
Pamoja sana mkuu this is betting kula na kuliwa ndo mpango, tupia wa leo mkuuWakuu tulifanya makosa ningejua ninsingewapa tarehe 1 wana mechi ya club bingwa afrika ndo maana wamezingua...wameweka mkazo kule
Sent using Jamii Forums mobile app