Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu ikitokea Simba kutofungwa bao 3+ nitaacha kubet.Pesa unakosa na maumivu juu [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na kweli Sevilla alinyooshwa.Kama nilivyoipania game ya Jana ya Barcelona, nilikuwa na uhakika wa ushindi utafikiri mimi ndio Messi vile. Kutokana na yaliyotokea first leg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ipi?
Hii mechi nimeangalia naona kama haitakuwa na bao.Ipo huko ndo inakaribia kuisha Shanghai shenhua vs New England revolution
[emoji23][emoji23][emoji23] mnaweza kipigwa pigo takatifu nyie jitoeni ufahamu kama vile mpira hamuujuiTusisumbuane jumamosiView attachment 1009431
Simba ashinde Misri?!!? [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] mnaweza kipigwa pigo takatifu nyie jitoeni ufahamu kama vile mpira hamuujui
Hamna goli hapo.Tena inaonekana haina refa Wala kocha na magoli wameng'oa kabisaView attachment 1009436
Huu ndio mkeka wenyewe.Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.
Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.
Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nawaambia watu wanadhani utani.Nimebet kiingereza naona mambo yameenda sawa [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1009438
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini kweli aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nawaambia watu wanadhani utani.
Ukibet kiingereza matokeo yanakuwa Green.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nawaambia watu wanadhani utani.
Ukibet kiingereza matokeo yanakuwa Green.
Hiyo Program ya kubet Kiingereza imeanza juzi nikiwa na mtaji wa 20k kwa sasa iko 100k.
Mkuu huu mkeka ukitembea unitagHuu ndio mkeka wenyewe.View attachment 1009445