Ni hatari sana ati?[emoji38]Duh si kwa mkeka huo,bora ungesubiri weekend kunakuwa na Tim nyingi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetenga Tsh.50 elfu kama mtaji,na hiyo 10K,ni dau nililoweka kwenye mkeka huo ninaotaka kuulipia,utakuwa umenisoma mdau.Sijakupata vzr hapo kwenye 50k...10k....!!?
Ndo niweze kutoa ushauri ndg
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,mkuu,kwa sababu ndo naanza huenda mambo yakakaa sawa,hakyanani nibutua huu,naacha za kipuuzi hizi.
Mechi gani mkuu,niitoe fasta.Huu mkeka umeshachanika mkuu. Naona haujalipa, tafadhali usiulipie.
Sasa mkuu,hizi ni Odds za namna gani?Kopi huo wa premierbet utapata hela
Kweli aanze na mia 5 hadi 1000.Unapoanza kujifunza kubet, usianze na dau kubwa. Utalia machozi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Subiri weekend hizi siku huwa hazina timu za maana.Yaani nikitusua leo na kazi naacha kabisa.
Sawa mkuu,ngoja nisubiri jumamosi tu.
Eka dau kubwa, pita na timu tatu hadi nne tuuNaam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.
Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.
Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
Kweli aanze na mia 5 hadi 1000.