Jamani hee hili jukwaa limevamiwa na mtu mmoja ambae hajui kubet ila yeye anaofa ya kupata internet lakin haitumii ipasavyo how comes kuanzia asubuh yeye n kutuletea misource ya ajabu ajabu tuu Kama kila mtu angeamua kuleta hvyo vitu ingekuaje Mana unaeza kuta uzi una pending ka page nne ukajua Kuna lamaana kumbe n unaa wa mtu mmoja tuu nahuyu anabadili account na anazaid ya Moja.
Inshu ipo hv policy yetu huku n kuleta mkeka wako wenye matumaini sio utupostia ma copy an paste na jinsi ya kumzuia huyu mtu n kuclick kwenye account ID au picha utaona kitu kinakuja report mseme analeta vurugu kwenye jukwaa ili tupunguze usumbufu Mana tumeongea mengi Sana ila wap jamaa bado tuu Anabadil account hvyo dawa yake n kublock account zake zote.
Naomba kuwasilisha