Safi sana! Ila mbona hujamuua simba? Isitoshe stake yako imekuwa ya kinyonge sana. Weka mzigo hadi Mhindi aogope.Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.
1xbet raha kweli yaaan huku unabet huku unaangalia mechi yako live[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1010646
Sent using Jamii Forums mobile app
Safii saanaSafi sana! Ila mbona hujamuua simba? Isitoshe stake yako imekuwa ya kinyonge sana. Weka mzigo hadi Mhindi aogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mbetiji professional, unatumia akili na sio mapenzi ya moyo. Kama manara tu hela kwanza.Ukiachana Na Uzalendo ila Mimi Ni mshabiki wa Simba ila kwenye pesa ushabiki tunaweka pembeni...
hadi meridian unaweza cheki game live?
simba kufungwa hakuna kitu odds 1.12 ile ya vita 1.85 ndo weng tulikosa hela kwa kuleta mapenz
Nenda premier bet wao wana 1.20 kwa direct win.simba kufungwa hakuna kitu odds 1.12 ile ya vita 1.85 ndo weng tulikosa hela kwa kuleta mapenz
Nimeupata mkuu,shukrani sana,hapa nimeanza kupiga pindi [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu: kamikaze @Isangelo, Yaleyale ,Poluyakhtov ,kipumbwi ,kamikaze asante kwa LIKES zenu, mzigo tayari kwenye inbox zenu!
Siyo mbaya na hicho kitasaidiaWakuu: kamikaze @Isangelo, Yaleyale ,Poluyakhtov ,kipumbwi ,@kamikazena wengineo kwanza niwaombe radhi sana tena sana kwa kitabu nilichowatumia, nimechanganya mafaili, hicho nilichotuma ni kwa level ya Cambridge, lengo langu ilikuwa niwa tumie kitabu simple cha kurasa 30 tu ambacho nusu saa umemaliza kusoma na kiingereza chake ni rahisi sana.
NARUDIA TENA KUWATUMIA KITABU CHENYEWE UPYA, Asante sana kwa kunivumilia
HahahahUkiachana Na Uzalendo ila Mimi Ni mshabiki wa Simba ila kwenye pesa ushabiki tunaweka pembeni...
Woon.. thank you!Daka ndoano...!!!View attachment 1010752