Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wale wa online kesho singapore s-league zote mbili over 1.5 wekeni hta nyumba hapo mkipiga mlete tabu mjini..
 
Rahim acha utani kaka, mpaka singapore league??? Hebu save hizo hela hata dada angu umnunulie kitenge hehehe
 
Kazi ya live inakwenda vyema, hapo nimeivamia basketball kwa mwendo wa over na under. Kwani odds zake ni nzuri. Odds zake zinakuwaga kati ya 1.5 na 2.1 inahitajika timing tuu jionee mwenyewe. Kumbuka, bet what you can afford to loose
 

Attachments

  • 1400135771093.jpg
    21.4 KB · Views: 90
  • 1400135870123.jpg
    22.1 KB · Views: 86
Kazi ya live inakwenda vyema, hapo nimeivamia basketball kwa mwendo wa over na under. Kwani odds zake ni nzuri. Odds zake zinakuwaga kati ya 1.5 na 2.1 inahitajika timing tuu jionee mwenyewe. Kumbuka, bet what you can afford to loose

huwa unaweka over ngapi? (sijui ndo wanaita points)..na mm nijaribu zali?
 
xyz123
Hongera sana sisi wengine mtaji kila siku unaisha sasa tuko kwenye negative
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimepiga, natumai na nyinyi mlionisikiliza mmepiga pia,,
 

Attachments

  • 1400164054003.jpg
    66.4 KB · Views: 92
Kazi ya live inakwenda vyema, hapo nimeivamia basketball kwa mwendo wa over na under. Kwani odds zake ni nzuri. Odds zake zinakuwaga kati ya 1.5 na 2.1 inahitajika timing tuu jionee mwenyewe. Kumbuka, bet what you can afford to loose

tuelekeze zaidi jinsi ya kupiga pesa hapo..
 
tuelekeze zaidi jinsi ya kupiga pesa hapo..

wakuu nilikuwa kazi zimenibana kidogo, Ila hapa mimi napenda kubet basketball kipengele cha magoli mengi kwani naona ni rahisi kupiga pesa na pesa unayopiga katika mechi ni almost twice ya pesa unayowweka. maana odds zake zinakuwaga around 1.7 na 2.1. Hapa huwa napenda kuweka over, kwa beginnerinatakiwa uweke mzigo pale mechi inapokuwa katika imemaliza 1st quater, Hapa mtu unakuwa na wezo wa kupredict kwani simply prediction ambayo huwa naitumia kupata jumla ya magoli kwa mechi yote ni huwa nachukua jumla ya magoli ya first quater then nazidisha kwa 4, then hapo napata picha kuwa mechi inakwendaje.

Baada ya kuona hivyo, then unaangalia kama limit ya OU odds alokuwekea je somehow zinaendana na jawabu ulopata baada ya kuzidisha mara 4.? if yes, weka mzigo katika category ya over, kwa maana kwa research niliyoifanya individual quater zinazofuatia huwa zinakuwaga na sum ya magoli mengi kuliko quater ya kwanza or sum ya quater ya 2, 3, 4 kwa pamoja huwa zinakuwa zaidi ya mara tatu ya quater ya kwanza.

kumaster vizuri, just anza kwa kutest kuweka pesa ndogondogo ili uwe unachukua mazoezi , theni ukimaster ndio uanze kujilipua. kwa wale wanaotumia simu tumia browser ambazo zinarun javascript files, Opera hairun javascript, browser inayorun nzuri ambayo javascript na ninayoitumia mimi ni Baidu browser kwa wale wa android waweza pakua katika app store.

Hii ni nzuri kwani inakufanya uwe unamonitor mtaji wako unavyokwenda katika soko la hisa, sometimes nikiona kuwa mbele hakuendeki (kama game inaelekea kuwa unde what nilichoweka) huwa narudisha mpira kwa kipa kwa kugenerate mkeka mwingine ambao una pesa category ya under ili mwisho mikeka ijicancel out na niwe na 0/minimum pprofit/loss. sometimes huwa navamia tenis, kwani yenyewe almost 90% ya games zake mwenye odds ndogo mwanzoni mwa mechi ndiye mshindi na huwa haina draw.

kumbuka kubet what you can afford to loose. Karibuni rahim_baharia na Fibonacci, ni hayo tuu.
 

nimekusoma XYZ123...ntakuwa nakupa info how things go!!
 

Kaka unabetia kampun gani? mana mi pia nabet online ila nabetig mafutboli tuu,,umenipa mwanga kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…