Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yapyap huo ndio ukweli haswa wakenya wezi sana wanajifanya wanauza fixed matapelii sanaa na wanigeriaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapyap huo ndio ukweli haswa wakenya wezi sana wanajifanya wanauza fixed matapelii sanaa na wanigeriaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya, wanigeria, waganda ndio kazi yao kufanya online scamming kwamba wana fixed game, wote ni matapeli. Ukikutana na watu wa Eastern Europe wewe lipia wana game zao hadi za UEFA. Wale jamaa ni criminal waaminifu sana ndio maana hata FIFA officials baadhi wanafanya nao Kazi.
Germany wana scandal kubwa sana ya kupanga matokeo ya hivi Majuzi inayoendelea mahakamani na washtakiwa njemba za Eastern Europe na tajiri mmoja toka Thailand aliekuwa anatoa fund kununua marefa na wachezaji watengeneze matokeo anayoyataka yeye ili apige hela. Hatari Duniani kuna watu Mamafia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#ENGN SOMAHIOOOOOOOO
*mj41x*

_3 odds_

Newcastle Jets (Women) - Western Sydney Wanderers (Women)
1X2: W Newcastle Jets (Women)
1.55 ✅✅✅
Central Coast Mariners Academy - Melbourne Victory
Total 2: Individual Total Melbourne Victory Over (1.5)
1.49✅✅✅
Adelaide United - Brisbane Roar
Total: Total Over (1.5)
1.14 ✅✅✅
Perth Glory - Wellington Phoenix
Total: Total Over (1.5)
1.17 ✅✅✅

*mr opulence*

🤸‍♂💃🏧🤝💯💪💰
 
Simba akishinda au kudraw nakurudishia mara mbili ya stake yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…