Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Simbaaaaaaa.Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.
Mkuu hongera..mambo ni mzuri3.5 [emoji23] Simba yangu ni timu isiyoweza kuniangusha.
Masilahi kwanza, ushabiki baadae.
Asante sana mkuu, maana hii ndiyo ilikuwa silaha yangu ya mwisho leo.Mkuu hongera..mambo ni mzuri
Shabiki mwenzangu una hayo mambo?Simba inatoa over 9.5 leo
Ushabiki pembeniShabiki mwenzangu una hayo mambo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hence provedHence shown daadeki [emoji16] [emoji16].. Over 3.5 tayari.. #This is simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mawiliBeti hiyo umpe Khanji mtaji
Safiii sana nina furaha kwa sababu nimeingiza pesa.Ushabiki pembeni
Tunaongea ukweli
Weka over 9.5 weka kiwanja,nyumba na mke kama unae
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hapo ndo unaambiwa Yan timu unaipenda kinomanoma Yan ikuumize moyo wakati unajua kabisa na hela ikunyime mzee Kama bado weka over 12.5 Kama huna hela weka Figo aisee