Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hyi kitu mzee inplay inalipa Mana n 95/% to win sema mambo yamebanana kidogo najitambua na najikumbuka vizuri pale shoppers merdian mikochen yan mzee we acha tuu kiukweli nikiwa na shida ya milion nikija huku nikiwa na 300k hsikosi kunitunuku ila wiki hii n nomaa mzee mipango tuu ndo inajitajika
 
Kuna kijana mmoja ana aka ya pili humu shamba laini siku hizi upo wap mzee nimesahau identity yako humu.
 
Pelegrini kasema anataka kuifunga Liverpool kikosin Kuna Carol(Liverpool), chicharito(man utd), nasri( man city) we n Nan usieiona -2 ya Liverpool before the game
 
Tunajua kuandika hujui tumepotezea tuletee mkeka ulioshinda wiki hii au wiki Jana ila ukileta matusi usitegemee nikujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…