Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Haichukui muda kama sasa hivi nimewithdraw ndani ya sekunde kadhaa Pesa imesoma. Hawakati kodi wala ada za kuweka Na kutoa, unaweka free Na unatoa free.Vipi kuhusu kudeposit na kuwithdraw unachukua muda gani na je wanakata kodi?
Hata over 2.5 hajatoa
Thanks brooHaichukui muda kama sasa hivi nimewithdraw ndani ya sekunde kadhaa Pesa imesoma. Hawakati kodi wala ada za kuweka Na kutoa, unaweka free Na unatoa free.
PamojaThanks broo
Tukutane kwa mama muuza
Bila shaka tumeamka kama tulivyolala... aliyelala anacheka kaamka anacheka, na kinyume chake ndo ukweli ulivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi sehemu gani hapa Dar naweza kuwapata wabetiji wenye mitaji mikubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app