Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yale mazagazaga ukipita nayo vzr, hayakuachi hivi hivi. Sasa kuna watu wangine wanakereka basi naona jamaa imemvunja moyo.
Yule jamaa mi simwelewagi..ni km wana bifu nje ya hapa. Yeye kama anakereka angekuwa anapita kimya kimya lakin co kupingana na harakati za mwenzio wakat tunajenga nyumba moja. Kavu sana uyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, ukiachana na 1xbet na parimatch ni kampuni nyingine zenye option kama hii? (over 1,2,3...)
 
Safi sana mkuu, elekeza pia procedures za kuwithdraw hadi pesa iingie kwny wallet account.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…