officialfaheeed
JF-Expert Member
- Jan 31, 2019
- 389
- 233
Hawa PLAY MASTER NI *******. yani nimebet kitu kingine nakuta wamenibetisha correct score...
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh hii ulikua umeweka online au? mna over 1.5 kwa man c wakupe odds ya 3? hii ni kampuni gani?Aisee...!!!View attachment 1015352
Mwanangu umepata 40 ya kuamkia keshoAisee...!!!View attachment 1015355
Daah usingizi umenipitammh hii ulikua umeweka online au? mna over 1.5 kwa man c wakupe odds ya 3? hii ni kampuni gani?
Leo siku imekuwa nzuri sana mamaeee dah umetusua zote zimejibu...Aisee...!!!View attachment 1015326
Hio ni online mkuu hapo nadhani aliweka ikiwa dakika ya 85 yataka uwe na roho ngumummh hii ulikua umeweka online au? mna over 1.5 kwa man c wakupe odds ya 3? hii ni kampuni gani?
Achana naye yule njaa kali.
Yeah inplay dakika ya 85+ wakati huo odd zinakuwa tamu.mmh hii ulikua umeweka online au? mna over 1.5 kwa man c wakupe odds ya 3? hii ni kampuni gani?
Hatariii Mzee..!Leo siku imekuwa nzuri sana mamaeee dah umetusua zote zimejibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kampuni gani huyo.. du lazima ufumbe macho ukiweka mzigoYeah inplay dakika ya 85+ wakati huo odd zinakuwa tamu.
Mechi ya Benfica over 2.5 70%
wewe ulishawahi kujaribuFixed games zipo nyingi ila ni za ulaya, Germany, Turkey na Eastern Europe ndio wanafanya sana hii but wenye mitaji mikubwa ndio wanajihusisha zaidi. Game moja wanastake hadi dola 100,000/= afu hawa jamaa wakikupa game ya fixed unawalipa baada ya kula mkwanja.
Ukikutana na wale wanaokwambia toa elfu kumi wakupe fixed matches kimbia hao ni matapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app