Mtaji umeisha wote nimebakia na zero
Oya mainvestor hivi fiorentina kauza game? Mbona kapewa odds kubwa sana au kwakuwa Torino anataka nafasi ya uropa league?
jikusanye jipange upya world cup..
Nimejipanga tayari nimewekeza makampuni mawili hivi ila kufikia world cup nitakuwa kwenye makampuni manne ambayo nina uhakika nitarudisha hela yote waliyokula.
Meridian
Bet365
Iplay8casino
Sportpesa
Nimeamini tamaa mbaya nimepata kahela kangu nikawekeza kote kupata faida sana nimeliwa daaaah
Ila world cup nakula milioni na usheee
yani pale ndo penyewe ngoja tukusanye buku buku za ligi za norway na sweden tupate mtaji wa worldcup
C.E.O usisahau na singapore..
yap hata singapore. Ila baharia unaonekana lig ya huko singapore unaijua uzuri sana
Hii ligi ya magoli C.E.O unatupia Over mara chache saana watakuangusha..