Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau nimekua nikijiuliza sana ni nini kipo nyuma ya kamali mana most of the gamblers huwa wanashindwa, ikitokea mtu ameshinda basi ni mara chache sanaa
Hi inajumuisha michezo yote ya kamali kama Footbal betting, Keno, Horse race, Dog race, Roulette, Poker na mingine mingi
Mwenye taarifa atujuze wadau mana saa zingine unaweza ukahisi unafanyiwa mazingaombwe kumbe ndo unapigwa maela yako tuu
 
Kwa mcheza kamali wa muda mrefu akipiga mahesabu yake anaona amekula nyingi zaidi ya alizoliwa! Hii ni kwa walio wengi wanaocheza mara kwa mara.

Wale wa one-off ndio wengi wanaliwa, maana hawarudi tena kucheza.
 
Leo nakula kesho naliwa zote hadi sasa niko na negativr
 
Oya mainvestor hivi fiorentina kauza game? Mbona kapewa odds kubwa sana au kwakuwa Torino anataka nafasi ya uropa league?
 
jikusanye jipange upya world cup..

Nimejipanga tayari nimewekeza makampuni mawili hivi ila kufikia world cup nitakuwa kwenye makampuni manne ambayo nina uhakika nitarudisha hela yote waliyokula.
Meridian
Bet365
Iplay8casino
Sportpesa
 
Sportpesa ni ya kenya sababu huwa niko Kule na huku hivyo naitumia hiyo afu pia check sportpesa.com
 
Nimeamini tamaa mbaya nimepata kahela kangu nikawekeza kote kupata faida sana nimeliwa daaaah
Ila world cup nakula milioni na usheee
 
Nimeamini tamaa mbaya nimepata kahela kangu nikawekeza kote kupata faida sana nimeliwa daaaah
Ila world cup nakula milioni na usheee

yani pale ndo penyewe ngoja tukusanye buku buku za ligi za norway na sweden tupate mtaji wa worldcup
 
Ngoja niweke 5000 tu kwa ajili ya kutafuta mtaji mwingine wa world cup
 
Back
Top Bottom