Safi mkuu upo vizuri nilihofia nikaweka stake kidogo ila haba na haba ujaza kibaba twende sawa mkuu wa kaziMechi ya Chelsea U19
Over 0.5 HT
Hizo ni halftime/fultime chiefNaomba ufafanuzi 1/1,1/2 ,X/X,2/2,2/1
Pumbavu........Yapo leta 10000 nikupe Odd 50000. Mtanzania kuamini hadi aone kwa macho.
Mkuu naona unalisongesha gurudumu vizuriWOOON MKAWITHDRAW...!!!
Hii kampuni gani? nimeitafuta melbet asubuhi sijaipata hii mechi. Ningezaa na mhindi.Wale washabiki wa Simba hii si fursa hii; weka mzigo wako wote...!
View attachment 1026413
Pamoja Mkuu... Maliza kazi uje tuendeleee.Mkuu naona unalisongesha gurudumu vizuri
Leo nipo tight kinoma na kazi sina muda
Nawachungulia na kutoka
Mambo ya Ngumu kumeza odd mlimaNaomba ufafanuzi 1/1,1/2 ,X/X,2/2,2/1
Sasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwaajili ya usajili halafu usajili wa laini ni elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaishaJaman mwenye namba ya Mtu anaesajili line za Safaricom hapa mwanza anijulishe. Bitcoin sio poa deposit 45000 1xbet inaingia 37000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Niko sirar kwa sasa narud mwanza kesho tatizo ni je? Ukimsajilia MTU afu line itumike bahat mbaya kwenye mambo mabaya huyu aliyesajili kwa majina yake atakua kwenye hali ganiSasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwa then usajili wa laini elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule vitambulisho vinavyotumika ni vya watu wa kenya Sio Tz halafu vitambulisho vipo vya kutosha uwezi kukosa Sio lazima utumie chakoMm Niko sirar kwa sasa narud mwanza kesho tatizo ni je? Ukimsajilia MTU afu line itumike bahat mbaya kwenye mambo mabaya huyu aliyesajili kwa majina yake atakua kwenye hali gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nilitest kuweka buku 2, 1xbet ikaja kufika 1500 na kidogo, na hapo bado makato ya kutoa mpesa sh 350. Nikaamua kutumia kadi ya benki, nikaona 1x haikubaliki. Nikaitumia melbet ikakubali.Bitcoin njia ya wizi sana ilee... Niliwahi weka 5000 mpesa kuja kufika kwenye acc 3000 sijui[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaee zaooo sijarudi tenaa
Sent using Jamii Forums mobile app