Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuwahamasisha watu wasaidiane kwa kutupia tips kabla....ndo msaada wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada uanzie kwako, onyesha Njia kwakile unachotaka kifanyike. Hoja yako ingesound kama wewe ungekuwa unashare tips humu kabla kama unavyosema, lakini ukija Na maneno matupu ni afadhali yule anayeshare winning tickets. Sio tu unataka wenzako wafanye halafu wewe hufanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…