Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hapo napo patamu odds zinachange within seconds.
Acha niwatestMkuu Melbet ni copy and paste ya 1xbet
Almost kila kitu
Biticoins inahusika hapo
Basketball Inplay haiwezekan ku-share hata kidogo mana ndani ya sekunde moja odd inatoka 2.85 mpk 1.76 hivy had ulete humu unakuta tayar ile option uliyochagua za hiyo odd haipo tena. Mara 1000 football
Yeye anajilipua kama ulivyo au anaedit Al ahly Simba win 1.25Sawa, mfowadie hii...
PSG - win (1.35)
RANGERS- win (1.45)
MAN CITY- win (1.32)
JUVENTUS- win or draw (1.40)
BORDEAUX- win or draw (1.25)
Total Odds: 4.52
Sasa sijajua ukimfowadia ndo itakuwaje hapo!
No sio safaricom watahitaji verification, 1xbet ndio watahitaji ili kuruhusu hela iingie kwenye safaricom yako.kivip mkuu? Ukishinda mpunga wako si unakua kwenye a/c ya 1xbet halafu wewe ndio unawithdraw kidogo kidogo. Sasa hao safaricom watahitaji id za nn tena, labda useme 1xbet ndio watahitaji hivyo
Kama kuna mtu anatumia mpesa ya kenya. Nataka nimtumie 515ksh kutoka skrill, alafu atanisaidia kunitumia paypal
Kama kuna mtu anatumia mpesa ya kenya. Nataka nimtumie 515ksh kutoka skrill, alafu atanisaidia kunitumia paypalNo sio safaricom watahitaji verification, 1xbet ndio watahitaji ili kuruhusu hela iingie kwenye safaricom yako.
Labda utoe kidogo kidogo, ila ukitaka uitoe yote hiyo hela utaipoteza
Kuna wadau huku wanatumia safaricom, naamini atajitokeza muungwana akusaidie.Kama kuna mtu anatumia mpesa ya kenya. Nataka nimtumie 515ksh kutoka skrill, alafu atanisaidia kunitumia paypal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ucheze wewe hizo Odds 50,000/= upate pesa?Kwanini sasa unalia njaa na unaomba upewe elf10 wakati una Odds 50,000/ ambazo we mwenyewe ukiweka buku tu utapata mil50.....Ebu acheni ujinga aiseeeYapo leta 10000 nikupe Odd 50000. Mtanzania kuamini hadi aone kwa macho.
Nimedeposit kwa njia ya VISA Card ya KCB Bank. Ni sekunde moja 5 tuUmedeposit kwa njia gani mellbet
Nimeshakujibu hapo juu.Umedeposit kwa njia gani mellbet
Hiyo melbet naona ni tawi la 1xbet..ni jina tu lakin kila ktu kuanzia registration adi ma options ni 1xbet tupuUmedeposit kwa njia gani mellbet
Na ukifanikiwa kuwithdraw kwa bank ulete mrejesho mkuu, maana wengine tumeshindwaNimedeposit kwa njia ya VISA Card ya KCB Bank. Ni sekunde moja 5 tu