Before hujaweka ndoano inabidi upite sofa score ucheki head 2 head points zilikuaje...hapo utakua na makisio yako tayari then unaweza kuvizia...
No sio safaricom watahitaji verification, 1xbet ndio watahitaji ili kuruhusu hela iingie kwenye safaricom yako.
Labda utoe kidogo kidogo, ila ukitaka uitoe yote hiyo hela utaipoteza
Nimeshatoa mbinuAnayecheza inplay basket, football au Hata isipokuwa Inplay Kwa mchezo wowote ule kinachotakiwa humu sio kupost kabla ila Cha msingi ni kutoa mbinu unafanyeje Kuotea mpaka kumpiga Kanji kwahyo Maana kushare tips Kunasaidia but kwa muda mfupi ila Mbinu zinasaidia milele
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu heshima yako bana
hiv hawa jamaa huwaga ni matapeli juzi kidogo niliwe elfu kumi na tano nikamwambia nina elfu kumi jamaa akaringa kwanza baadae akaja tena mbio anataka nimpe ile elfu kum et kisa game moja ilikua tayar ishaanza kwahiyo zimebaki mbili..wazo likanijia kabla ya kumlipa ngoja nizame jamii forum kwanza niangalie hizo fixed matches nikakuta wadau wanasisitiza kua hakuna kitu ni utapeli tu...na hii ulivyomjibu huyu jamaa hapo umezidi kunifungua akili shukran sanaSasa si ucheze wewe hizo Odds 50,000/= upate pesa?Kwanini sasa unalia njaa na unaomba upewe elf10 wakati una Odds 50,000/ ambazo we mwenyewe ukiweka buku tu utapata mil50.....Ebu acheni ujinga aiseee
jaribu kwenda kwenye ofisi ya serikali za mtaa watakupa muongozo kama ulikosa kwa kipindi kileWakuu samahanini sana kwa kuingiza mada tofauti humu.......Nimepata trip kidogo ya kwenda Kampala but sina passport na nimejaribu kuuliza utaratibu wa kupata passport nikaambiwa I must have national ID ambayo sina pia.....Naomba kuuliza hadi sasa huu mchakato wa kujiandikisha na kupata kitambulisho bado unaendelea au walishasitisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia hjyo game ya akina mama nilitega ndoano baada ya kutafuta wastani wa points ya hizo game mbili kama picha ya kwanza inavyoonesha...
Kama kuna mbinu ni vyema kushea mbinu kuliko tips,,ukipatia mbinu, kupigwa ni asilimia ndogo sanaNimeona Mkuu! Shukrani saana Hii sio mara yako ya kwanza Unajitahidi kutoa mbinu nashukuru sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo zoezi lilikwishafanyika katika kata, kwasasa nenda ofisi za NIDA willaya ulipo utapewa form utajaza na utapigwa picha hukohukoWakuu samahanini sana kwa kuingiza mada tofauti humu.......Nimepata trip kidogo ya kwenda Kampala but sina passport na nimejaribu kuuliza utaratibu wa kupata passport nikaambiwa I must have national ID ambayo sina pia.....Naomba kuuliza hadi sasa huu mchakato wa kujiandikisha na kupata kitambulisho bado unaendelea au walishasitisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mbinu ni vyema kushea mbinu kuliko tips,,ukipatia mbinu, kupigwa ni asilimia ndogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo trip ni ya muda mrefu au for short term? Je, utakuwa unaenda mara Kwa Mara au? Je, ina uharaka sana? Je, una kitambulisho cha kura?Wakuu samahanini sana kwa kuingiza mada tofauti humu.......Nimepata trip kidogo ya kwenda Kampala but sina passport na nimejaribu kuuliza utaratibu wa kupata passport nikaambiwa I must have national ID ambayo sina pia.....Naomba kuuliza hadi sasa huu mchakato wa kujiandikisha na kupata kitambulisho bado unaendelea au walishasitisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa hatari...!!! Mbinu muruaHizi odds zilipofikia ukicheza karata vizuri unacheka kihindi
Tengeneza single mbili
Moja mpe win Juve
Kisha mpe na Atletico win
Stake 100,000 kila single
Akishinda yeyote unapata 290,000
Ukitoa stake zako unabaki na 90,000 iliosimama
NB
Ole wako watoe draw utalia kilio cha kichinaView attachment 1027393
Hii mbinu ukiitumia Kwa mechi za Australia inaweza ikalipa sana unakuta mwenye odd 6 anashinda halafu mwenye odd 2 anashindwa.Hizi odds zilipofikia ukicheza karata vizuri unacheka kihindi
Tengeneza single mbili
Moja mpe win Juve
Kisha mpe na Atletico win
Stake 100,000 kila single
Akishinda yeyote unapata 290,000
Ukitoa stake zako unabaki na 90,000 iliosimama
NB
Ole wako watoe draw utalia kilio cha kichinaView attachment 1027393