Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Aisee ukiijua mbinu mambo yakuwa laaaaaainiii kama unakunywa majiView attachment 1027509
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana,,,over chukua wastani wa jumla wa points ndogo kabisa za game husika kama zinavyooneshwa kwenye sofascoreHii mbinu ya Over mkuu bado sijaipata aisee, Na kuhusu ile mbinu ya under ina kwenda poa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana,,,over chukua wastani wa jumla wa points ndogo kabisa za game husika kama zinavyooneshwa kwenye sofascore
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana,,,over chukua wastani wa jumla wa points ndogo kabisa za game husika kama zinavyooneshwa kwenye sofascore
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nimeweza kurudi 1xbet. Easy depost MPESA + LOCALBITCOIN = 1XBet
Hata mimi naona mkuu mambo siyo mabayamkeka wa ttt riga unaenda tiki aisee...
Ww jamaa ni hatari vikapu vinatupiwa kama havina akili nzuri...
Ukiweka mwingine ni tag...
Hahaaaa...umenogewa eeh...ila kuliwa napo kupo ujuetushakula huo. Why usiwe unatuma hii kila siku mkuu mechi mbili tunaweka zetu over mambo yanajipa yenyewe tu...
Iko poa ila mi imenishnda ukila km ujala utoaj wa ela mlolongo sana....Hivi 1xbet ina uzuri gani hko? maana naona watu wanahangaika sana kudeposit pesa wkati kuna Kampuni kibao simple tu kama Betpawa..
Ahaha!! Dada cristina watamficha leowakuu!leo nimepea A.madrid cjui dada cristina hata nyambia jamvi yangu?