Aisee yametoka matatu.Hii mechi ya City kama nayaona magoli mengi HT.
Very sorry Mpwa, Mungu amsimamie.THX MPWAA WANGU SIKIA UKIMWI USISIKIA CANCER MPWAAA MTU ANAOZA UNAMWONAAAA SOSAD INDEED BRS
Tupo pamoja mkuuHii mechi ya City bado inanukia Pesa tuifuate second half.
Tuifuataje mkuuHii mechi ya City bado inanukia Pesa tuifuate second half.
Waliofata huu Mkeka imebaki game ya Juve tu kutoa goli 1 tu 2nd Half ila naona dalili siyo nzuri km uliufata Sell tu mapema naona km droo ya 0-0 hapaOdds 6 hizo [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1027507
Sent using Jamii Forums mobile app
No goal.. According to AVRMorataaa
Kama vile hamna kitu hapa aseeMnaoangalia game ya Juve kuna dalili ya goli.?
Morata kaweka limekataliwaMnaoangalia game ya Juve kuna dalili ya goli.?