Nahisi andybird314 keshavunja laptop yake,, fredericko keshaenda kulala tayar.. :sad:
Game ya leo nigeria v scotland nasikia mafia washanunua, polisi wanafanya uchunguzi, chonde chonde game usiiguse itakupoteza maboya.
Sa c ndo umerahisishiwa,maana Naija wahawezi kuiacha hiyo pesa.....!ndo maana ulaya wachezaji wanalipwa pesa nyingi...kamari zimewaongezea thamani.
Mkuu hapa ndo nlipokua natafuta mm,,em nifafanulie hapo kwenye mafia kununua game? Ni kwamba gambling companies wananunuaga games au? Mana nimekua nahic kuna somethng behind the scene kwnye hii gambling games
Sa c ndo umerahisishiwa,maana Naija wahawezi kuiacha hiyo pesa.....!ndo maana ulaya wachezaji wanalipwa pesa nyingi...kamari zimewaongezea thamani.
mara nyingi wananunua game au sometyme kuna vi2 vidogo vidogo wananunua, mfano kuna zile betting za nani wa kwnza kurusha mpira, kupiga kona, yelow cad,red card n.k. Mara nyingi game za kirafik ndo zinakuaga na mambo haya. Mfano mwaka juzi zimbabwe timu ya taifa walipewa mpunga mwingi na mafia ili wauze game na timu moja ya Asia nimeisahau kidogo, na kweli jamaa walipokea rushwa na karibia wachezaji wote walifungiwa...
wakuu nawaamsha, mumelala yaonekana!