Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Yah bado moja mkuu.Inaeza kias fulan mana hao wengn wana redcard
Wewe mtu ndio juzi ulitangaza unauza sure Odds 10,000 kwa sh elfu 10 na ukadai unajua pa kuzipata???Nyie watu kuna muda ebu kuweni matured aisee,msiwe mnaleta hizo mambo za kipuuzi humu wakati wengine wako seriousFC Copenhagen hizo dalili za kuanza ujinga sasa.
2.5 ipo kweli.
@Mr. Wise nakuheshimu sana japo ulisoma ila hukuelewa hoja yangu.Wewe mtu ndio juzi ulitangaza unauza sure Odds 10,000 kwa sh elfu 10 na ukadai unajua pa kuzipata???Nyie watu kuna muda ebu kuweni matured aisee,msiwe mnaleta hizo mambo za kipuuzi humu wakati wengine wako serious
[emoji3][emoji3][emoji3]Mmmh NBA leo mech ni 11. Kuna haja nilale saiv niweke alarm saa nane dk 40 tuwe macho. Hii kazi utafikir tuna mtihani asubh
Mmmh NBA leo mech ni 11. Kuna haja nilale saiv niweke alarm saa nane dk 40 tuwe macho. Hii kazi utafikir tuna mtihani asubh
Sawa mkuu
TIMU MOJA ULIWEKA BEI GANIToka mechi za katikati ya wiki kanji kanilamba hela ya kutosha hadi naona kila timu mchawi asante kwa al ahly jana coz nilibet yenyewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Again sasa povu ndio kitu gani tena iko?Huu uzi umekua sio kabisa huu nowadays.@Mr. Wise nakuheshimu sana japo ulisoma ila hukuelewa hoja yangu.
Nakumbuka baada ya kutoka povu lako nilikwambia "kuna sentensi utasoma ila hutaweza kuelewa"
Mkuu nimemuwekea mzigo wa maana we achataFc Copenhagen alikuwa na nguvu ya soda.
Dah basi tena mimi naona hakufai. Nilimpa stake kubwa over 2.5 naona ni ndoto.Mkuu nimemuwekea mzigo wa maana we achata
Hapa nilipo natoka hadi jasho la kucha
hawa waturuki watakuwa wanafix matches sio bure. Yani km movie vile.Beskitas goli zote 3 zimerudi khaaa!!