Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman mbona mitaji haikui ili tuwe tunaweka stake ya 1000000. Tatizo nini ? Mbona kila siku tunaweka vistake vya kitoto, mtu akijitahidi sana anastake laki.

Ili betting uone faida yake stake ianzie million.

Mfano odd ya 1.09 ukiweka 1000000 faida 90000
 
Hizi 1.9 ni mbaya sana wakati mwingine wanaishia kufungwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…