Mkuu wangu, je ukipata hiyo milioni unaweza kustake milioni kwa return ya 90,000 faida??? embu nijibu.Jaman mbona mitaji haikui ili tuwe tunaweka stake ya 1000000. Tatizo nini ? Mbona kila siku tunaweka vistake vya kitoto, mtu akijitahidi sana anastake laki.
Ili betting uone faida yake stake ianzie million.
Mfano odd ya 1.09 ukiweka 1000000 faida 90000
Jaman mbona mitaji haikui ili tuwe tunaweka stake ya 1000000. Tatizo nini ? Mbona kila siku tunaweka vistake vya kitoto, mtu akijitahidi sana anastake laki.

hii app gan mkuu
bet lost
Au hawapati goli hata moja.
Mkuu naomba kutofautiana na wewe kidogousibeti kwa malengo mkuu beti kwa bahati nasibu kama unacheza biko an hujui unakula au huli na ukila ni zari usipokula potezea na usije iwazia ela ya kubet
Sent using Jamii Forums mobile app
nnacho amini mimi,cdhani km kuna mtu anabeti ilikujifurahisha,sema ndo vile watuhatunabahati coz mpira una dunda.Mkuu naomba kutofautiana na wewe kidogo
Siamini kabisa betting ni sawa nna akina Biko na tatumzuka
Betting bila malengo ni bora uache kubet sababu ina involve PESA
Biko mnacheza watu hata milioni moja mshindi mmoja, haina strategy wala nini, its a pure bahati na sibu
Betting ni malengo na mikakati mkuu, bahati mbaya sana wengi wanabet kama ulevi vile wamekua addicted na faida hawapati
Mimi binafsi betting ni moja ya vyanzo vyangu vya mapato vya kuaminika at anytime
Jifunze jinsi ya kuwa mkamalia mzuri na sio mchangiaji wa wenzio, try to google ingawa inaonekana ngumu mwanzoni lakini ukizoea utaliwa kiasi utakula zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
FactMkuu naomba kutofautiana na wewe kidogo

Mkuu hapa under 5.5 na kwa dk zilizo baki na ukiona hakuna pressure kama ya game ya juve na napoli mi huwa natupia na roho nyeupe kabisa, bao 3 nyingi ingawa in football anything can happenMkuu wangu, je ukipata hiyo milioni unaweza kustake milioni kwa return ya 90,000 faida??? embu nijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli hamna kampuni yoyote ya betting inayojua matokeo kabla ya mchezoFact
Makampuni yote ya beting yanajua nani anashinda nani ana draw
Kazi ni kwa mhusika kujua nani ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tunachofeli sisi ni Kukosa Plan na hata ukiwa na Plan unakosa Consistency kwenye Plan YakoMkuu naomba kutofautiana na wewe kidogo
Siamini kabisa betting ni sawa nna akina Biko na tatumzuka
Betting bila malengo ni bora uache kubet sababu ina involve PESA
Biko mnacheza watu hata milioni moja mshindi mmoja, haina strategy wala nini, its a pure bahati na sibu
Betting ni malengo na mikakati mkuu, bahati mbaya sana wengi wanabet kama ulevi vile wamekua addicted na faida hawapati
Mimi binafsi betting ni moja ya vyanzo vyangu vya mapato vya kuaminika at anytime
Jifunze jinsi ya kuwa mkamalia mzuri na sio mchangiaji wa wenzio, try to google ingawa inaonekana ngumu mwanzoni lakini ukizoea utaliwa kiasi utakula zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kwamba ukiwa na milioni utafute at least odd iliyochangamka may be kuanzia 1.3 return yake ni nzuri kidogo... Kuliko kutafuta odds ndogo na ukapigwa kwa kutafuta 90,000 kwa kustake 1mMkuu hapa under 5.5 na kwa dk zilizo baki na ukiona hakuna pressure kama ya game ya juve na napoli mi huwa natupia na roho nyeupe kabisa, bao 3 nyingi ingawa in football anything can happen
Trust me hakuna bet tamu kama hii na haija wahi kuniangusha labda Mungu yupo upande wangu
Naona ni bora hii kuliko mkeka wa laki
Ukivizia hivi hata mara mbili tu kwa siku kwa sisi watu wa viti virefu unakula zako Heineken daily na usawa huu wa maguView attachment 1038383
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mbona mitaji haikui ili tuwe tunaweka stake ya 1000000. Tatizo nini ? Mbona kila siku tunaweka vistake vya kitoto, mtu akijitahidi sana anastake laki.
Ili betting uone faida yake stake ianzie million.
Mfano odd ya 1.09 ukiweka 1000000 faida 90000
Formula ya betting inasema mara nyingi odd zinavyokua ndogo zina kua na nafasi ya kuwa safeMkuu sio kwamba ukiwa na milioni utafute at least odd iliyochangamka may be kuanzia 1.3 return yake ni nzuri kidogo... Kuliko kutafuta odds ndogo na ukapigwa kwa kutafuta 90,000 kwa kustake 1m
Sent using Jamii Forums mobile app