Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera.. ila mkuu unaonekana una roho ngumu kweli kweli..kubefi option ya UNDER!! tena kweli magoli!! Aah mimi siwezi aisee..
Labda unipe shule kidogo, unatumia vigezo gani mpaka unabeti hivi wakati odds bado zipo nzuri hivi?
Mimi naona ni bora kusubiri goli liingie nyavuni kuliko kuomba goli lisipatikane.
 
Hata Meridian wana hii option na nyingine nyingi za inplay, sema tatizo lao tu ni kwenye network! Ukiondoa hilo tu nadhani kwa local hapa bongo wanatisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni timing na bahati
Mfano hawa madogo wanaonekana kubaniana sana
Unawakadiria hawafungani tena unatupia mzigo unabinya korodani
Wakifunga tu pale pale unawatwanga tena under kurecover kama muda utaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…